Jump to content

Msaada: Lugha nyingi

From Wikifunctions
This page is a translated version of the page Help:Multilingual and the translation is 100% complete.

Wikifunctions ni mradi wa kimataifa na kwa hivyo wa lugha nyingi. Ingawa Kiingereza ndio lugha chaguo-msingi ya kiolesura(interface), mradi unakusudiwa kutumiwa na, ni muhimu kwa watumiaji wa kila lugha iliyo na usaidizi wa MediaWiki wa kimataifa.

Kanuni msingi

Programu ya Wikifunctions imejanibishwa kikamilifu kama miradi yote ya Wikimedia. Watumiaji wanaweza kuweka 'lugha inayopendelewa kupitia menyu ya Preferences au Kiteuzi cha Lugha kwa Wote kwa kubofya ikoni ifuatayo inayopatikana juu ya ukurasa wowote: ULS

Sera na miongozo inapaswa kuandikwa kwa Kiingereza kwanza na kisha kutafsiriwa kwa lugha zingine. Toleo la Kiingereza la sera au mwongozo ni toleo linaloidhinishwa ambalo matoleo mengine ya lugha yatategemea huko. Tafsiri zinaweza kufanywa na Tafsiri kiendelezi. Hati za kiendelezi cha Tafsiri zinapatikana pia. Unaweza pia kuacha ujumbe kwenye Ubao wa matangazo ya Watafsiri ikiwa una maswali au maombi.

Yaliyomo

Angalia Glossary kwa vidokezo muhimu.

Kurasa za Matukio

Hivi ndivyo baadhi Vipengee ambapo kutafsiri lebo na lebo muhimu kunasaidia zaidi:

Vitu Vingine kwa Aina...

Kurasa za Miradi

Kurasa hizi za mradi ziko tayari kwaajiri ya kutafsiriwa:

Manukuu ya video

Kutafsiri programu ya kompyuta

Unaweza kusaidia kutafsiri kiolesura cha programu kwenye tovuti translatewiki.net. Tovuti hii haijaunganishwa kwa Wikimedia moja kwa moja, na utahitaji kuunda akaunti mpya ya mtumiaji. Tafadhali tazama lango lao la kutafsiri la MediaWiki kwa ushauri wa kuanza hapo.

Leksemu za Wikidata

Unaweza kufanyia kazi maarifa ya leksikografia katika Wikidata. Hili litahitajika ili Wikipedia ya Muhtasari kufanikiwa, na inaweza kufanyiwa kazi sasa hivi.